This is Kikwete - the Tanzanian president. He DEEPLY loves and cares for his people. This pictures illustrate in detail his love of the common people. Mheshimiwa Rais wetu mpendwa. Tunakutakia kila la heri katika uchaguzi wa mwaka huu na tunakuombea maisha marefu wewe pamoja na familia yako. Mungu Ibariki Tanzania.